4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Sanaa 
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni 
Kodi 650000x6 Kwa Mwezi Dalali mwezi 1 Service Charge 20,000 Kuona nyumba 
Sifa za nyumba 
Room 4 Moja ni Master Bedroom 
Sitting room 
Dining room 
Kitchen with Cabinet 
Public toilet ndani 
Bafu 
Luku yake 
Hita Maji moto na Baridi
Air condition Chumbani Master  Bedroom 
Maji Dawasa ndani mita yake 
Parking space fancy 
Garden nzuri 
Apartment zipo 2 moja ndio itakuwa wazi mwenye nyumba  Ana Hama mwenyewe Kwenda Arusha
Good environment 
O677370515 whatsapp number 
0688991244 normal call




















