4 Bedrooms House/Apartment for Rent in Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk 5 kutoka main road
Nyumba ipo kwenye ukalabati ila una ruhusiwa kuiona na kulipia
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Parking
Usalama wa kutosha
Kodi 700,000/= kwa Mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.




















