2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IKO WAZI 
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#HITER MAJI MOTO 
#MAKABATI VYUMBANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
________________________________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________




















