2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa Mpyaa Kali Zipo 4 Na Bei zipo tofauti
Location Kimara Suka Dk 10 From road Kwa mguu
Kodi 450,000/=×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 15000 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 2 zote ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Blocks
Garden Nzuri sana
Hita Maji Moto na Baridi
Good environment
Contact
#0754344786
#0652472014