2 Bedrooms House/Apartment for sale at Buza, Dar Es Salaam







Apartment 8 zinauzwa,
Zipo Buza kwa Mparange.
Kiwanja kina sqm 1065
Bei Milioni 350
Maongezi yapo
Hati Miliki ipo,
Nyumba 4 zimeshaisha zina wapangaji na 4 bado hazijaisha. Kila
nyumba ina vyumba 2, sebule,jiko na dining.
Zipo ndani ya fensi
Kuna maji n umeme
Wasiliana nami kwa
+255718809744
Service charge 50,000