Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA CHENYE HATI MILIKI,SQM.2,800,TSHS.125 MILIONI, KIBAMBA-HOSPITALI.
Hapa ni umbali wa kilomita 30 kutoka POST,
Na ni kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
SIFA:
●Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara
●Eneo lote limezunguushiwa Ukuta wa Tofari
●Kuna Nyumba 2 za Wafanyakazi
●Kuna Mabanda kwaajili ya Ufugaji
●Kuna Miti ya Mazao ya Chakula kama Minazi nk.
●Huduma za Umeme na Maji zipo.
Zaidi ya Makazi hapa panafaa pia kufanya shughuki za Ufugaji.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg