Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 195,000,000

HOUSE FOR SALE.
.
Eneo : KIAGAMBONI.
Square Meters : 600.
.
.
Bei : Million 195/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
2 Master Bedroom's.
1 Single Bedroom.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Kigamboni Geza Ulole Block 18 moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 195 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Ipo Kigamboni Geza Ulole Maarufu Uwanja wa Yanga.
.
Ukiwa unatoka Hospitali ya Wilaya au Kwa Mkuu wa Wilaya unafika mpaka Geza juu halafu unakata upande wa kushoto kama una kuja Shule ya ABC CAPITA SCHOOL.
.
Mji wa Geza Ulole bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Barabara ya Geza juu maarufu Geza Center mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 4 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni karibu zaidi na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na Hospital ya Wilaya ya Kigamboni.
.
Kumbuka pia Nyumba Ina Servant Cotta yenye vyumba vitatu pamoja na jiko la kujitegemea.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana PASHA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501 AU 0768 313101
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
PASHA REAL ESTATE,live a Happy life.

dahuuofficial dahuuofficial dahuuofficial

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

Viwanja vinauzwa kigamboni Mahali; Kigamboni#Kisarawe2 Umbali kutoka ferry ni km13 na kutoka lami ha...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI KISOTA 🌟🏠 Vyumba 5 ( 4 Master Self Contained)🛋️ Sebule kubwa ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 260,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI CHEKA MWEMBE MDOGO 📍NYUMBA INAVYUMBA 3 VYOTE MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMB...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na...

3 Bedrooms Furnished House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location Mwongozo <> nyumba ina vyumba vitatu vya kulala vyote Mas...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KIDETE(UPANDE WA BAHARI)BEI;MILION 120UKUBWA;SQM 2500KUTOKA FERRY KM 9 TU...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLEUKUBWA;SQM 630BEI;MILION 35CALL 0742121038

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO TSH 400K 🤝 KISOTA KIGAMBONI SE...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA TSH 300K 🤝 TAANGOMA KIGA...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 12,000 per sqm

HUKU KUMENOGA 🔥🔥🔥🔥ANZA NA LAKI MBILI TU KIGAMBONI PEMBAMNAZI✅Mradi huu unapatikana barabara ya k...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya vi...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Thanks boss OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ p...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 3.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE .�...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

PLOT INATUPWA KWA BEI POA KABISA __Location kigamboni kibugumo kidete __MITA 6000 KUTOKA lami MITA 3...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KONA YA CHUOBEI;MILION 10UKUBWA:SQM 400CALL 0742121038

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 80,000

Tuna uza viwanja kigamboniMahali; KigamboniGezaIslamicBeach **Umbali kutoka ferry ni km15 na kutoka ...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI KISOTA 🌟🏠 Vyumba 4 ( 2 Master Self Contained)🛋️ Sebule kubwa ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

🏖️ BEACH PLOT FOR SALE - KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌅Tambua fursa ya kumiliki kipande cha ardhi karibu n...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...