Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 195,000,000

HOUSE FOR SALE.
.
Eneo : KIAGAMBONI.
Square Meters : 600.
.
.
Bei : Million 195/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
2 Master Bedroom's.
1 Single Bedroom.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Kigamboni Geza Ulole Block 18 moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 195 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Ipo Kigamboni Geza Ulole Maarufu Uwanja wa Yanga.
.
Ukiwa unatoka Hospitali ya Wilaya au Kwa Mkuu wa Wilaya unafika mpaka Geza juu halafu unakata upande wa kushoto kama una kuja Shule ya ABC CAPITA SCHOOL.
.
Mji wa Geza Ulole bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Barabara ya Geza juu maarufu Geza Center mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 4 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni karibu zaidi na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na Hospital ya Wilaya ya Kigamboni.
.
Kumbuka pia Nyumba Ina Servant Cotta yenye vyumba vitatu pamoja na jiko la kujitegemea.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana PASHA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501 AU 0768 313101
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
PASHA REAL ESTATE,live a Happy life.

dahuuofficial dahuuofficial dahuuofficial

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 3,000,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location tuangoma <> nyumba ina vyumba vitano vyote master sebule ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍Kigamboni Kibada (block Ushwani)🏠Vyumba Viwili kimoja Master👉Apartment Zinapangishwa👉Security C...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLEBEI;MILION 35UKUBWA;SQM 680Call 0742121038

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

📍Kigamboni Soweto🏠New Project🏠Chumba master & Jiko💰180,000/= kwa mwezi👉Malipo ni miezi minne⚡Um...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

APARTMENT INAUZWA KIGAMBONI KISIWANI __INA CHUMBA MASTER NA JIKO ZIKO 3 PIA KUNA NAFASI YA KUJENGA ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kinauzwa square mita 580 Hati (kamali) Gezaulole Kigamboni ) maongezi yapo kidogo Price m...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba 4 kimoja master Sebule jiko & dining ✅ Ndani ya f...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba Vyumba 4 viwili master Sebule jiko & dining ✅ Nda...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

#Repost plots.kigamboni✅Eneo lipo mwasonga (KIGAMBONI)✅Tunauza kuanzia 400SQM na kuendelea✅SQM 1 = 1...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLEUKUBWA;SQM 800BEI;MILION 45CALL 0742121038

Frame inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

HOUSE FOR SALE 🔹Vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebule jiko🔹Ina Fremu ya Bishara upande mmo...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada<> nyumba ina vyumba vinne vyote master sebule dini...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍Kigamboni Kisarawe II Kigogo Dsm🏠Vyumba Viwili kimoja Master👉Apartment Zinapangishwa✅A/c & Heate...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000 per month

📍Kigamboni Kibada Dsm🏠Vyumba Vinne vyote ni Master 👉StandAlone👉Inapangishwa 🕐Nyumba ipo jirani ...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 18,200,000

*KIGAMBONI DEGE*Km15 From FerryKm2 Main RoadVIWANJA VITATU VIPO SOKONIViwanja Vyote Vinatazama Barab...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000

𝗨𝗧𝗔𝗔𝗠𝗕𝗜𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗞𝗨𝗨𝗨 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔𝗘 𝗔𝗜𝗦𝗘𝗘🙌🏻🙌🏻𝗞𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI KIBADA block 17__SifaNyumba ya kisasa Nyumba INA NAFASI KUBWA sanaINA gard...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __NYUMBA NI YA KISASA IKO MTAA MZURI__INA VYUMBA V3 VYAKU...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __VYUMBA V2 VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO KUBWA STO...