Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam







GODOWN KUBWA SANA
LINAUZWA
KIMARA SUKA
UKUBWA WA ENEO SQM 2160.
DOCUMENTS / TITLE DEED..
BEI YAKE 220ML
MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA FIKA SITE.
ENEO HILI LIPO KIMARA SUKA, UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE ENEO NI METERS 900.
UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU DK 7
GODOWN HILI NA ENEO LAKE UNAWEZA KULITUMIA KAMA LILIVYO AU UKABADIRISHA MATUMIZI NA UKAVUNJA NA KUFANYA UWEKEZAJI MWINGINE WOWOTE UTAOPENDEKEZA, KAMA KUJENGA APARTMENT'S NYUMBA YA KUISHI KIFAMILIA N.K.
šļøKARIBU SANA NDUGU MTEJAš¹šæ
TUNAJIVUNIA NCHI YETU TANZANIA, MAANA NI NCHI SALAMA KWA UWUKEZAJI SALAMA PIA.š¹šæ
CONTACT:: 0672 673363