Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 73,000,000

VIWANJA CLASSIC KABISA VINAUZWA,MTAA WA KISHUA KABISA,Vimepimwa tayar,maji na umeme vipo,kona plot,v...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 75,085

LIPIA KWA AWAMU, CHA TATU KUTOKA LAMI MPYAMadale road, DAKIKA MOJA NA LAMI MPYAWATU WA APARTMENTS M...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

*Plot inauzwa Madale kwa Kawawa**Umbali* mita 250 kutoka main road -Kiwanja kipo Mtaa mzuri kimezung...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei ya kuokota:Ukubwa-sqm 1150Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml ...

2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Inapangishwa:STAND ALONELocation :: MADALE CENTREBei yake :: 600,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6) Muundo w...

House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI 🛣️1.5m From Madale Road🏷️Price Million 16.8📃 SURVEYED 🟥 SQM 280📏 ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei ya kuokota:Ukubwa-sqm 1150Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei ya kuokota:Ukubwa-sqm 1150Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml ...

3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 350,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA Inapangishwa:STAND ALONELocation :: MADALE CENTREBei yake :: 350,000T...

1 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 350,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MADALE CENTER _____...

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,100,000,000

🇹🇿🏡 NYUMBA INAUZWA - MADALE 🏡🇹🇿📍 Location: Madale — Mita 300 kutoka lami📐 Plot Size: 7200 sq...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

🌍 KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA - MADALE 🏡📍 Umbali: Mita 100 kutoka barabara ya lami📐 Ukubwa: sqm 7,9...

House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI 🛣️1.5m From Madale Road🏷️Price Million 16.8📃 SURVEYED 🟥 SQM 280📏 ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISH...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 900Kimepimwa bado Hati Bei-ml 38 maongezi Location- madale m...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE MIVUMONI ———...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 82,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA/0788036643📌LOCATION: MADALE ROAD✍️UKUBWA: 800 SQM📌BEI: 82M✍️DOCUMENT: ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 900Kimepimwa bado Hati Bei-ml 38 maongezi Location- madale m...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 119,000,000

KIWANJA CLASSIC KINAUZWA,Madale, mita 200 na lami,Kona plot,viwanja vimepimwa tayari,maji na umeme ...