Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

——APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MADALE MNADA WA MBUZI______________________#CHUMB...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE——————————————...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

House For Sale Location:Madale Plot Size Sqm 400Documents:Title Deeds(Ina Hati Ya Wizara)2 Bedrooms ...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 140,000

.🌍 VIWANJA MADALE MPYA 🏡🔥 Fursa adimu ya kumiliki ardhi iliyopimwa!📍 Mahali : Madale Mpya🛣️ Nji...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up or DM kwa ajili ya ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

🏡 NYUMBA MPYA INAUZWA – MADALE MIVUMONI 🏡📍 Mahali: Madale Mivumoni, Dar es Salaam📐 Ukubwa wa Kiw...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

⸻🏡 NYUMBA YA KUMALIZIA INAUZWA – MADALE MSIGAN📍 Mahali: Madale, Msigan🏠 Vyumba: 3🛋️ Sebule🍽️ Ji...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

🏡 NYUMBA INAUZWA📍 Mahali: Madale — umbali wa mita 300 kutoka lami📏 Ukubwa wa Kiwanja: 400 sqm💰 B...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMON📍 Eneo: Madale, Mivumon🛣️ Kinagusa lami mpya📐 Ukubwa: 1300 SQ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Nyumba stand alone mpya inapangishwa:Room 2 moja self Sebule kubwa jiko kubwa stoo public toilet na ...

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

⸻NYUMBA INAUZWA – MADALE, MSIGAN📍 Mahali: Madale, Msigan🛣️ Umbali: 1.5 KM kutoka barabara ya Madal...