Plot for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C-IPO KARIB NA MJINI.

(Vyumba 03-Kimoja masta,seble,jiko,dining,public toilet!)

KIWANJA-500sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
____________________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
____________________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
_____________________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
_______________________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
____________________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 1,500,000,000

LAKE VIEW PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA.............. #SPECIFICATIONS *Plot Size Square...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA MNADA MPYA DODOMA MJINI👉🏼SQM 740 UkubwaBlock J👉🏼Bei 13milionDocument offer 👉🏼...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA IKO MJINI-TOWNKWA WASIOFAHAMU AREA E(IKO JIRANI NA SUMMIT HOTEL MORO-DASLAAM)________...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA #KODI 150,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ANAHITAJIKA MSELA WA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 230,000,000

*KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA KIKUYU SOUTH DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 4 tkutoka katikati ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 4,100,000

KIWANJA NAUZAUKUBWA 20*40📍KIPO VETA - SINGIDA MJINIKARIBU NA IKULU NDOGO💰Bei ni milioni 4.1📞06581...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 12,000,000

NAUZA PAGARA 👉VYUMBA VYA KULALA👉kimoja master 📍LIPO VETA - singida mjini👉Ukubwa wa kiwanja💰Bei ...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA IKO MJINI-TOWNKWA WASIOFAHAMU AREA E(IKO JIRANI NA SUMMIT HOTEL MORO-DASLAAM)________...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA IKO MJINI-TOWNKWA WASIOFAHAMU AREA E(IKO JIRANI NA SUMMIT HOTEL MORO-DASLAAM)________...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 300,000

#KODI 300000 K X6NYUMBA YA KUPANGA IPO #KIMARA_TEMBONI # NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE AINA FENSI I...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 18,000,000

KIWANJA KINAUZWA MICHESE MWANZO WA LAMI block ZE👉🏼SQM 625 ukubwa Block ZE 👉🏼Bei 18milionDocumen...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA MICHESE BLOCK ZC👉🏼KIWANJA Cha kwanza barabara kubwa iliyotenganisha ITEGA NA MICH...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 1,500,000,000

LAKE VIEW PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA.............. #SPECIFICATIONS *Plot Size Square...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 25,000

Kiwanja kizuri tambarare kabisa kinauzwa Milioni 13Kiwanja kina miguu 10-14 kinafaa kujenga apartmen...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 4,800,000

JIZAWADIE KIWANJA DODOMA MJINI LEO Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Viwanja...

1 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 200,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location External Maji chumvi km2 usafiri bajaji na dalada...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 400,000

#KODI 400000 K X6NYUMBA YA KUPANGA IPO #KIMARA_TEMBONI #ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJAKAMA U...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK F👉🏼SQM 525 UkubwaBlock F👉🏼Bei 13milion tuDocument Hati miliki 👉�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK F👉🏼SQM 625 UkubwaBlock F👉🏼Bei 13milion tuDocument Hati miliki 👉�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 7,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK M👉🏼SQM 525 UkubwaBlock M👉🏼Bei 7milion tuDocument offer ya CDA👉🏼...