Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C-IPO KARIB NA MJINI.

(Vyumba 03-Kimoja masta,seble,jiko,dining,public toilet!)

KIWANJA-500sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
____________________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
____________________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
_____________________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
_______________________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
____________________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 7,000,000

👉🌴 KIWANJA KINAUZWA KIMEPIMWA KINA HATI UKUBWA SQMT 685 ,KIPO TAMBARARE KABISA HAKNA MUINUKO WALA ...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 10,000,000

👉Kinauzwa kiwanja michese dom SQM 2364 👉ni senta karibu na shule garden vallu 👉bei ni 10m( hii s...

Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 90,000,000

VIWANJA VIZURI MJINI VINAUZWA____________________________MAHALI —IYUMBU NEW TOWN____________________...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA____________________________MAHALI —ILAZO TORONTO _____________________...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA____________________________MAHALI —ILAZO TORONTO _____________________...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA____________________________MAHALI —ILAZO TORONTO _____________________...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 25,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA_______MAHALI-MEDELI EAST (NYUMBA YA BAMBALAGA BAR/FEZA SCHOOL)_______U...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 450,000

*Apartment kali sana*💯*Chumba 2 zote master*✅*Seble kubwa**Jiko la kisasa*✅Full A/C*Ndani ya Fence*...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 25,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA_______MAHALI-MEDELI EAST (NYUMBA YA BAMBALAGA BAR/FEZA SCHOOL)_______U...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 28,000,000

👉Sqm572👉Location -kikuyu400M Kutoka usawa wa lami 👉Bei- 28M (fixed)👉Doc-hati👉Kiwanja kinafaa sa...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma
  • By Installment

Sh. 1,700,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMIUNAWEZA LIPA KWA AWAMU 02MORENA-SHOPPERZ/AFRICAB/RAFIKI HOTEL _________________...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

APARTMENT FOR RENTMorogoro Mjini500,000/=2bedrooms0678-517158/0785-517158

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 300,000,000

👉HII NI KWA WALE WANAOPENDA MASWALA YA UFUGAJI TU👉NINA BONGE LA MRADI UNAUZWA MJINI KIBAHA TOWNSHI...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 27,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWACHENYE FENSI CHOTE___________________________MAHALI-MEDELI (NYUMA YA BAMBALAG...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 27,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWACHENYE FENSI CHOTE___________________________MAHALI-MEDELI (NYUMA YA BAMBALAG...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 40,000,000

KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA ILAZO BLOCK "D" JIJINI DODOMAEne ukubwa ni 540 sq.mKina HATICha kwa...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 27,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWACHENYE FENSI CHOTE___________________________MAHALI-MEDELI (NYUMA YA BAMBALAG...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 16,000,000

NAUZA KIWANJA DODOMA MJINI👉 MAHARI 🚩 MIGANGA WEST 👉 SQM 852👉 DOCUMENT HATI💰 BEI 16 MILLION 👉 ...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 9,000,000

EKARI 9 na Nusu ZINAUZWA ZA KWANZA LAMI RING ROAD BIHAWANA 👉 KM 25 kutoka Dodoma Mjini 👉 Linafa...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 450,000

*Apartment kali mpya**Chumba 2, moja master*Seble , Dinning, store**Jiko la kisasa**Parking kubwa**D...