Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


PLOT YA KUUZWA TABATA SEGEREA (SHELL OIL COM)!
Kiwanja cha kipekee kilicho ndani ya uzio, kina nyumba ndogo, tanki la kuhifadhi maji, na maji yanapatikana. Ardhi ni tambarare kabisa, inafaa kwa makazi binafsi au uwekezaji wa apartments, AirBnB, guest house, au yard.
Ukubwa: (sqm 1,059)
Bei: TZS Milioni 200 (maongezi kidogo)
Hati miliki ipo
Panafikika kwa urahisi!
Ada ya kutazama: TZS 30,000
Wasiliana sasa: 📞 0688 412 890
Fursa hii ni ya kipekee, chukua hatua leo! 🏡


















