Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


**Nyumba Inauzwa Tabata Kimanga, Dar es Salaam - Mil 140!**
Inauzwa nyumba yenye vyumba viwili vya kulala kwa kila upande, chumba kimoja kikiwa ni master bedroom, sebule, na jiko. Kila upande unaweza kupangishwa kwa TZS 300,000 kwa mwezi. Umbali kutoka stand ni mita 50 tu! Gharama za kuja kuona ni TZS 40,000. Nyumba ina hati miliki ya ofa.
Usikose fursa hii ya kipekee!
#HouseForSale #RealEstate #DarEsSalaam #TabataKimanga #InvestmentOpportunity #PropertyMarket #AffordableHousing #HomeSweetHome #DreamHouse #daressalaam #dalalisosotabata