Plots for sale at Kibaha, Pwani


Viwanja hivi vipo Kibaha Boko Temboni, hivi viwanja vipo 4.5km toka Morogoro Road via Tumbi Hospital! Mita 900 toka Boko Mnemela Road!
Tumepakana na eneo la Tumbi Hospital na Shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa kuna wafuga kuku( Ogania)
Malipo ya Awamu 7,000,000/=
Cash 6,600,000/=
Jitahidi umiliki Kiwanja Kilichopimwa mwaka huu,ongeza viwanja vingine ,wekeza kwa usalama na Remmys Brand Communications
Mawasiliano zaidi
0659 972 868


















