Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

🤔Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location mikwambe <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

USISUBIRI HADI UMRI WA KUUMWA KISUKARI UFIKE NDO UJE KUNUNUA KIWANJA Embrace your prime potential be...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __NIKI WANJA CHA KWANZA KUTOKA BALABALA NI__KIWANJA KIZUNGU S...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibada 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ungindoni <> nyumba ina vyumba viwili vyote Master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani💰400,000X5 Na mwezi mmoja wa dalali•Vyumba viwili vya kula...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 9,000,000

PLOT FOR SALE kIGAMBONI KIMBIJI (potea)Size:956 SqmPlot number:780, Block GPrice :Tsh 9mKm40 From Fe...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __SIZE SQM 400/__KIWANJA KINA fence PANDE ZOTE Wewe NI kuweka ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

PAGALA LINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __LINA VYUMBA V4 VYAKULALA KIMOJA MASTA SEBULE DINING JIKO/PUBLI...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.65 MILIONI MIKWAMBE-CHEKECHEA/KIGAMBONI.Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.U...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KISIWANI 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰✅ ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI GEZA ULOLE 📍NYUMBA INAVYUMBA 3 KIMOJA ,MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAU...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 22,000,000

Viwanja vinauzwa kigamboni kibada chekecheaBei;Milion 22Call 0742121038

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

🏡 Nyumba ya Kisasa Inauzwa – Kigamboni, Geza (Wilayani)Bei: TSH 220,000,000Hati: Hati ya WizaraStat...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibugumo 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 3 vya kulala vyote ni Master – Self Contained...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 54,000,000

KIWANJA KINAUZWA LOCATION KIGAMBONI LINGATO KWA MIZENGO PINDAUKUBWA NI HEKALI MOJA BEI 54 MLGHARAMA ...