Plots for sale at Msalato, Dodoma


ULE MUDA TULIO KUWA
TUKIONGOJA umefika karibu Eneo la mradi mahomanyika
karibu a international airport MSALATO Dodoma
Mradi wa viwania vya BIASHARA vipo kwenye Barbara mpya kubwa ya ring road barabara ya muzunguko ya Dodoma
Viwanja vya makazi vipo km 1 kutoka ring road na
Km 1 kutoka inapo jengwa international airport MSALATO na
Km 3 adi mji wa kiserikali MTUMBA magufuli Cety
Bei ya viwanja vya BIASHARA kwa sqm 1 ni elfu 15000/ bei ya viwanja vya makazi kwa sqm 1 ni elfu 5000 na gharama hizi ni pamoja na uandaaji hati tunakupa kiwania wewe unajengatu!
Zaidi ni kwamba tunakuruhusu kulipa kwa hawamu Kwanzia
miezi 3 adi miezi 6
fika ofisi zetu zilipo Dodoma mjini mtaa wa uhindini mkabala na wizara ya uienzi na uchukuzi
Au tupigie simu no
0745200984 AU 0747999997 Ukijhitaji ramani ya mradi tuma ujembe Naomba ramani ya mradi wa Mahomanyila