Plots for sale at Vikindu, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 2,400,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

VIWANJA BEI POA MNO
KUANZIA TSH 1,500,000 TU‼️‼️‼️‼️‼️‼️

Naomba usome maswali na majibu hadi mwisho

BEI YA KIWANJA?
Inaanzia Tsh 1,500,000

NINI KINATOFAUTISHA BEI YA VIWANJA?
Viwanja vya mbele bei Tsh 2,400,000
Vya kati Tsh 1,900,000
Vya pembeni TSH 1,500,000
TAFADHALI ZINGATIA VIWANJA VYOTE TAMBARARE

Ukubwa wa viwanja?
FT 50x40
UNAWEZA KUUNGANISHA VIWANJA KADRI YA UWEZO WAKO

VIWANJA VINAPATIKANA WAPI?
VIKINDU KWA MTOPA NA ni KM 4 kutoka stendi na bajaj kutoka stendi hadi kwa mtopa ni TSH 700
Kutoka kwa mtopa unaweza kutembea kwa mguu hadi kwenye viwanja

HUDUMA ZA KIJAMII ZINAPATIKANA?
Umeme na maji vyote vinapatikana

JE NI ENEO AMBALO LIMECHANGAMKA NA MAJIRANI WAPO?
Ndio majirani wapo wengi waliozunguka viwanja hivi

USAFIRI WA KUFIKA VIKINDU?
Daladala zipo kutoka MBAGALA, GEREZANI, BUZA,TEMEKE/TANDIKA NA KIGAMBONI

VIKINDU IPO WAPI?
vikindu ipo KILWA ROAD, mbele ya MBAGALA. Mkoa wa PWANI

HALI YA VIWANJA?
Viwanja havina MGOGORO
Eneo limepimwa na barabara za mtaa zimeboreshwa

MTEJA ANAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO?
Ndio unaweza kulipa kidogo kidogo kwa miezi 4, utaanza malipo na kiasi cha milioni moja tu

UKIMALIZA MALIPO UTAPATA NYARAKA GANI?
Baada ya kukamilisha malipo yote utapewa hati ya mauziano kutoka ofisi ya serikali ya eneo husika

JE SIKU GANI ZA KUTEMBELEA VIWANJA?
Tupo wazi siku zote za wiki

NAMBA ZA MAWASILIANO?

PIGA SIMU: 0785367831
Whatsapp : 0769355987

Wauzaji wa viwanja, nyumba na mashamba
makazi_tz
Wauzaji wa viwanja, nyumba na mashamba

Similar items by location

Farm for sale at Vikindu, Pwani
  • Agriculture

Sh. 15,000,000

🔥🔥VIKINDU SHAMBA ZAIDI YA EKARI 40 LINAUZWA NA VITU VILIVYOMO📌MABWAYA SAMAKI📌MAZIZI YA NG'OMBE📌...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

5 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 280,000,000

HII NI GHOLOFA MOJA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA NI BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 280 TUNYUMBA I...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 38,000,000

Nyumba inauzwa ipo vikindu nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOILET PUBLI...

3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 40,000,000

Nyumba inauzwa ipo vikindu vianzi nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOILE...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

4 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 36,000,000

Nyumba inauzwa ipo vikindu mkoa wa pawani wiraya ya mkuranga nyumba ya vyumba 4vya Kulala Public toi...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

Na wewe usipitwe na fursa hii…kiwanja Tsh 2million tu…Tajiri kama hadi leo hauna kiwanja hakikisha u...

Plot for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 100,000

JUMAMOS KUNA MAMBO MAZURI MNOO JITAHIDI UFIKE SITE MAMBO NI🔥🔥✅️CHALINZESqm 1 Tsh.2,000Kiwanja Tsh....

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊PA𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎�...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 850,000

VIWANJA VIKINDU – MALOGOROUnatafuta kiwanja cha ndoto yako? Hii ndio nafasi yako!👉 Ukubwa: 40x50 ft...

2 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 85,000,000

Ipo vikindu magogo wilaya ya mkuranga kata ya vikindu mtaa wa kamegele Ina uzwa tsh mil 85Ina vyumba...

4 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 50,000

NYUMBA YAKISASA, VYUMBA 4,TSHS.85 MILIONI, VIKINDU-KAMENGELE.Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900.Umiliki...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

Tajiri kama hadi leo hauna kiwanja hakikisha unakuja kuona viwanja vyetu vya vikindu hautajutiaWatu ...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊𝙋𝘼𝐊𝐔𝐍𝐀 𝐕𝐈𝐖𝐀�...