Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 70,000
Project
Yes

MRADI WA GOBA NJIA NNE - NJIA PANDA YA TEGETA A
📞📞📞0620402813

🌸Ni Mradi uliopo sehemu nzuri sana sana! Kumejengeka vizuri mno MAKAZI YAPO watu wanaishi! NI KARIBU KABISA NA KINGS SECONDARY SCHOOL NA LILLIAN KIBO SECONDARY SCHOOL

UMBALI:
☘️Ni MITA 800 TU KUTOKA LAMI (MADALE ROAD !! Barabara ni kubwa inayoenda site na inapitika vizur hata kwa GARI

💐Huduma zote za kijamii umeme, MAJI, shule zipo karibu na MRADI kama inavyoonekana kwenye VIDEO!! Na viwanja vimepimwa KUANZIA SQUARE METERS 600+

BEI:-
⭐Ni kwa sh. 65,000 tu kwa bei ya CASH KWA SQ MITA 1 NA
70,000 TU KWA BEI YA INSTALLMENT KWA SQ MITA 1 ( MALIPO NDANI YA MIEZI 3 AMBAPO MWANZONI UTALIPA 50% YA MALIPO YOTE)

💥 MTEJA ukiona Mradi MAZUNGUMZO yapo ukifika ofisini! HUDUMA YETU NI YA UHAKIKA na tunajali sana wateja!!! PUNGUZO LA BEI LIPO SANA

SITE VISITING:
🌻Kutembelea na kuona MRADI ni bure kabsa zaidi ni wewe Mteja na muda wako tu na KUONA MRADI NI KILA SIKU

⚡HATI KAMPUNI INAKUSAIDIA KUFATILIA BAADA YA KUMALIZA MALIPO YOTE TU NA HATUA ZINGINE ZTAENDELEA BAADA YA MALIPO YOTE KUKAMILIKA

Miradi yetu mingine ni:-
🍀KIGAMBONI MWONGOZO
🌺 MADALE POLISI (NYAKASANGWE)
🥀GOBA NJIA PANDA YA TEGETA A
🌹KIBAHA - NIDA
🌸 KIBAHA- PANGANI

Ofisi zetu zipo
Mwenge Mpakani JENGO LA TANZANITE TOWER
2nd floor

NB: WE DARE, WE ADORE, WE CARE AND NOT IGNORE CUSTOMER

Call/Whatsapp 0620402813

Planet Property Ltd
viwanja_vizuri_bei_nzuri
Planet Property Ltd

Similar items by location

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

#NYUMBA INAUZWA // HOUSE FOR SALE // NYUMBA INAUZWA // PLOT FOR SALELOCATION : GOBA-MAGOROFANIPRICE...

2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

🇹🇿House For Rent #Stand Alone Location: GOBA NJIA NNE - MAGETI PRICE: 800,000 × 7✍️Sebule Kubwa ✍️...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Apartments zinapangishwa, zipo Goba njia nneVyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, ...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

BIG HOUSE FOR SALE ATGOBA KULANGWA_____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 1,200UMILIKI - HATI ...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

🏡 Goba: New Prime 5-Bedroom House for Sale!Quick Sale! Spacious 5-bedroom house in Goba, located ri...

House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 500,000

🏡 PROPERTY FOR RENT — Master Bedroom, Sebule & Jiko📍 Location: Goba Njia (Nyumba Lami)💰 Rent: TZS...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

NEW HOUSE FOR SALE – GOBA 📍Location: Goba magorofaniPlot Size: 756 SQMUmiliki: HatiUmbali: km 1 ku...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

🏠 Apartment for Rent – GOBA📍 Location: GOBA CENTEE💰 Rent: 900,000/= per month🛏 2 Bedrooms🛋 Sitt...

2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

INAPANGISHWA GOBA NJIA MAKONGO DK 1 TOKA LAMI NYUMBA MPYAAA KABISAA__Vyumba 2 vya kulala, kimoja mas...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VITANO “”VYOTE MUSTER “”ENEO SQMT 1200”OFFER M 850”MAONGEZ “”LOCATION G...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Apartment zinauzwa zipoGoba mageti zipo mbili kila Moja ina vyumba 2 Bei ml160Maongezi yapo Nakila m...

Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA📌LOCATION: GOBA KULANGWA ✍️UKUBWA: 400 SQM📌BEI: 35M✍️DOCUMENT: A CLEAN S...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000,000

Jumba Jipya La Kisasa LinauzwaMahali: Goba MaghorofaniBei: Milioni 800Km1 Kutoka Lami (Barabara Safi...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

NEW HOUSE FOR SALE ATGOBA MAGOROFANI _____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 750UMILIKI - HATI...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA KWA ROBERT#𝙎𝙞𝙛𝙖...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

0679 997610 APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA GOBA KULANGWA KILOMETA 2.5 KUTOKA MADALE ROAD ( KANJIBAI )...

House for Rent at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

220,000/=Kwa hiyo Bei Unaiachaje Kwa Mfano hembu fanya kuwahi tumalizane✔️Chumba ✔️Sebule ✔️Jiko✔️Pu...

5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

NEW HOUSE FOR SALE – GOBA 📍Location: Goba magorofaniPlot Size: 756 SQMUmiliki: HatiUmbali: km 1 ku...

Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

*Eneo langu naliuza lipo goba msikiti wa mabati, Kutoka goba center ni km 1 tu unaweza hata kutembea...

Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

PLOT FOR SALELOCATION: GOBA CENTRE KKKT ROADPLOT SIZE: HEKARI MOJAPrice: MILLION 350Call/WhatsApp0...