Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 70,000
Project
Yes

MRADI WA GOBA NJIA NNE - NJIA PANDA YA TEGETA A
📞📞📞0620402813

🌸Ni Mradi uliopo sehemu nzuri sana sana! Kumejengeka vizuri mno MAKAZI YAPO watu wanaishi! NI KARIBU KABISA NA KINGS SECONDARY SCHOOL NA LILLIAN KIBO SECONDARY SCHOOL

UMBALI:
☘️Ni MITA 800 TU KUTOKA LAMI (MADALE ROAD !! Barabara ni kubwa inayoenda site na inapitika vizur hata kwa GARI

💐Huduma zote za kijamii umeme, MAJI, shule zipo karibu na MRADI kama inavyoonekana kwenye VIDEO!! Na viwanja vimepimwa KUANZIA SQUARE METERS 600+

BEI:-
⭐Ni kwa sh. 65,000 tu kwa bei ya CASH KWA SQ MITA 1 NA
70,000 TU KWA BEI YA INSTALLMENT KWA SQ MITA 1 ( MALIPO NDANI YA MIEZI 3 AMBAPO MWANZONI UTALIPA 50% YA MALIPO YOTE)

💥 MTEJA ukiona Mradi MAZUNGUMZO yapo ukifika ofisini! HUDUMA YETU NI YA UHAKIKA na tunajali sana wateja!!! PUNGUZO LA BEI LIPO SANA

SITE VISITING:
🌻Kutembelea na kuona MRADI ni bure kabsa zaidi ni wewe Mteja na muda wako tu na KUONA MRADI NI KILA SIKU

⚡HATI KAMPUNI INAKUSAIDIA KUFATILIA BAADA YA KUMALIZA MALIPO YOTE TU NA HATUA ZINGINE ZTAENDELEA BAADA YA MALIPO YOTE KUKAMILIKA

Miradi yetu mingine ni:-
🍀KIGAMBONI MWONGOZO
🌺 MADALE POLISI (NYAKASANGWE)
🥀GOBA NJIA PANDA YA TEGETA A
🌹KIBAHA - NIDA
🌸 KIBAHA- PANGANI

Ofisi zetu zipo
Mwenge Mpakani JENGO LA TANZANITE TOWER
2nd floor

NB: WE DARE, WE ADORE, WE CARE AND NOT IGNORE CUSTOMER

Call/Whatsapp 0620402813

Planet Property Ltd
viwanja_vizuri_bei_nzuri
Planet Property Ltd

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 160,000,000

Corner Plot InauzwaMahali: Goba KulangwaBei: Milioni 160☑️Ukubwa: Sqm1282☑️Umiliki: Hati Ya Wizara☑️...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 520,000,000

HOUSE FOR SALE AT GOBA LASTANZA UKUBWA WA KIWANJA - SQM 600UMILIKI - HATI YA WIZARA ( TITLE DEED )_...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

——APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ GOBA KONTENA ______________________#CHUMBA_SEBUL...

Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

🏡 KIWANJA KINAUZWA – TEGETA A 🏡✨ Ni corner plot🛣️ Km 2 tu kutoka lami📐 Ukubwa: SQM 900💰 Bei: Mi...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#06777370515 APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ GOBA NJIA YA MAKONGO _________________...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 490,000,000

🚨HOUSE FOR SALE↪️Location: GOBA LASTANZA.....Distance from Main road: 600 meters🟩Plot size: 500 Sq...

Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO GOBA. MAGETI BEI : MILIONI : 85maongezi yapo___________________ Inavyumba v...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

NYUMBA NZURI SANA YAKISASA INAUZWA LOCATION GOBA KWAWAZI 📌INA VYUMBA VINNE VYOTE MASTER BE...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

NYUMBA INAUZWAMARK :GOBA LASTANZABEI, MILLION 500 MAONGEZI YAPOSQM, 650NYALAKA , NYUMBA INA HATI SA...

Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

🏡 PLOT FOR SALE – GOBA CENTER📍 LOCATIONGoba Center – 1.5 KM from Tarmac Road📐 PLOT DETAILS• Size:...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- GOBA NJIA MAKONGO————...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 520,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VITATU VYOTE MUSTER “NA BYCOTA ENEO SQMT 600”BEI MILLION 520”MAONGEZ “H...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

#Repost dalalimbezibeach_semba ✅️0718 759287#APPARTMENT YA VYUMBA_VIWILI_ KIMOJA MASTER🙌MAJI NDANIA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

🏡 NEW APARTMENT FOR RENT – GOBA✨ Quiet • Secure • Convenient Living📍 Location: Goba Njia Nne (Kari...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 175,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO GOBA MAJENGO BEI ML. 190ENEO SQMT: 400: 844DOCUMENT HATI MILIKI 👊🏼Inav...

Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

🚨PLOT FOR SALE↪️Location: GOBA CENTER.....Distance from Main road: 800 meters🟩Plot size: 900 Sqms�...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENTS MPYAAA KABISAA GOBA NA MAKONGO JIRANI NA LAMI__Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSebuleJi...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT MPYAAA KABISA INAPANGISHWA GOBA NJIAPANDA YA NASHPARK MITA 800 TOKA LAMI, HAPA MPO 2 TU__V...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENTS MPYAAA KABISAA GOBA NA MAKONGO JIRANI NA LAMI__Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSebuleJi...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

HOUSE FOR SALE GOBA CENTER 🏷️Price Million 750 Area SQM 1200 Full Title Deed 1km from Goba Road...