Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

🔥🔥🔥 OFA YETU BADO INAENDELEA.

📌Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.

👉Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu🥂🍺😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🏡 NYUMBA YA KUPANGISHA – KIGAMBONI KISIWANI ✅ 1 Bedroom (Master Self Contained)✅ Sebule kubwa + Jik...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,200,000

🏡VIWANJA_VINAUZWA 📍 Location: Kigamboni - MwasongaMiundombinu✅ Barabara ya gari (mita 12) inafika ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili vyote Master sebule n...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

*KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 3.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE ....

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 295,000,000

#HOUSE FOR SALE NEW HOUSE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; DEGE KIGAMBONI Plot size ; sqm 500Aski...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,200,000

CHIMBO LA BEI CHEEKaribuni Viwanja VILIVYOPIMWA. (SURVEYED PLOTS)📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASON...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Plot FOR SALE KIGAMBONI KISOTA__Plot Ina fence PANDE ZOTEMAZINGILA USHUANIMIUNDOMBINU NIMIZULI __Bei...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI KISOTA SALANGA __PLOT INA MSING WA FENCMAZINGILA NIMAZUR SANA MIUNDOMBINU ...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR RENT SEND ALONE INAPANGISHWA __NEW HOUSE __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINING...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,200,000

🏡VIWANJA_VINAUZWA 📍 Location: Kigamboni - MwasongaMiundombinu✅ Barabara ya gari (mita 12) inafika ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ungindoni <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebul...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina VIWILI KIMOJA MAST...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISOTA 》Nyumba ina VYUMBA VITATU KIMO...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina VIWILI KIMOJA MAST...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

3 Bedrooms Furnished House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED VYUMBA VITATU VYA KULALA VIWILI MASTER SEBULE DINNING NA JIKO LA KISAS...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINNING NA JIKO KUBWA LA KISASABEI NI 6...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

SITE VISIT KWETU NI BURE KABISA, TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA CHAKO KIZURI KABISAOF...