Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

🔥🔥🔥 OFA YETU BADO INAENDELEA.

📌Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.

👉Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu🥂🍺😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Nyumba/Apartment inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

APARTMENT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __ZIPO 10CHUMBA MASTER SEBULE JIKO __Ninyumba za bias...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

For sale) milion 220tsh maongezi yapo Hati kamili Call 0712554747 )Kigamboni

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Eneo lenye ukubwa wa #Sqm2400 linauzwaMahali ni Kigamboni#KisotaTunauza kwa ukubwa utakao taka mteja...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

OFERTA KALI – NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, KIBUGUMO ---🏡 Nyumba nzuri ya kisasa yenye mazingira tulivu...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location mji mwema <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebul...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule d...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KIDETE UPANDE WA BAHARIBEI;MILION 50UKUBWA;SQM 400KINA FENSICALL 07421210...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000,000

*21 Acres Industrial Plot for sale in Mwasongo, Kigamboni*📍Mwasonga road, 2 km from Mwasonga centre...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwaKigamboni Gezaulole bamba Sqm 950 tittle deed Bei 👉 million 40Call/what...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Nyumba/Apartment inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __APARTMENT 2ZINA CHUMBA MASTER SEBULE JIKO PUBLIC KILA M...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅nyum...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

📍Kigamboni Darajani 🏠Vyumba ya Vyumba Viwili kimoja Master 👉Inapangishwa/Apartment 🕐Dakika 4 kut...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

YADI INA PANGISHWA NA KUUZWA KIGAMBONI Ipo kisarawe II Ina ukubwa wa hekari mbili Ina hati ya wizara...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V3 VYAKULALA VIWILI MASTER SEBULE DINING JIK...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __BOMA LINA VYUMBA V2 VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE DIN...