Plots for sale at Kiluvya, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Makurunge Fedha Sekondary School shilingi 3,800,000/= ukubwa kuanzia 400m² yaani 20 x 20 au 16 × 25
Kianzio: 1,000,000/=
Kisha unalipa 280,000/= kila mwezi hadi unamaliza kiasi kilichobaki.
Ofisini: Kiluvya Makurunge Redomax Area,au Kiluvya Madukani karibu na Round About upande wa Kiwanda cha Maziwa Chawakim.
Mawasiliano
0659 972 868