Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Mbezi beach MassanaBei: 600,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Ka...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Mbezi makonde Bei: 300,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Karibu ...

2 Bedrooms House/Apartment for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

Apartments For Sale Ziko Mbili Kwenye Compound Location:Mbezi Beach Jogoo Plot Size Sqm 300Documents...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA DINING KUBWAJIKO NA STOREPUBLIC TOILET NDANI YA...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 200k#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KIBANDA CHA MKA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6✨️CHUMBA KIKUBWA MASTER✨️SEBULE✨️JI...

#0657384670 #APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6✨️CHUMBA KIKUBWA MASTER...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Plot for sale Ina nyumba zawa pangaji Sqm 950Plot Ina taka 150mlPlot ipo Mbezi beach school ya secon...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA DINING KUBWAJIKO NA STOREPUBLIC TOILET NDANI YA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KIBANDA CHA MKAAUmbali: K...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA DINING KUBWAJIKO NA STOREPUBLIC TOILET NDANI YA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA DINING KUBWAJIKO NA STOREPUBLIC TOILET NDANI YA...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡Apartment Classic For RentZipo 2 Kwenye Fence Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Upande Wa Kulia Kam...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ✨️ Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAADistance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 670,000

Apartments zinapangishwa, zipo Mbezi beach massanaVyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining ...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU BARABARA SAFI IKANYAGI TOPE ---...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 23,000,000

PAGALE INAUZWA CONTACT....LOCATION MBEZI KIBAMBA KWA MANGIBEI MILLION 23 MAONGEZI YAPOINA VYUMBA ...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...