Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH CHINI JULIANA______________KODI T...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

📲0677370515APARTMENT KALIII KABISA HIZI HAPA BEBA HELA AISEEE WAPANGAJI WAHINI TU📍WALE WA NYUMBA L...

2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

$ 850 per month

#2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS__...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HAYA WALE WA JIRANI NA LAMI KABISALocation: MBEZI KWA MSUGURIDistance: DAKIKA 3 LAMIAPARTMENT NZURI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿APARTMENT NZURI YA KISASAIPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA PRICE: 500,000 × 6 ✅️SEBULE KUBWA S...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

INAPANGISHWA LOCATION MBEZI MSUGULI KM 2CHUMBA MASTER KUBWA SANA TILES GIPSAM MAJI YA BILI 3NDANI YA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

APARTMENT FOR RENT MBEZI MWISHO NJIA YA GOBADK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -------Ni chumba Master bedro...

Furnished House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

NEW APARTMENT FOR RENT FULLY FURNISHED MASTER BEDROOM KITCHEN SITTING ROOM IKO DAR ES SAALAM TZMAHAL...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,300,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM...

2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

$ 850 per month

#2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS__...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Plot for sale Location:-mbezi beach Jk Nyerere Price:- Tsh Million 250Plot size:- SQMT 570Document:-...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

BEACH PLOT FOR SALEAT MBEZI BEACHASKING PRICE:: USD 1.5 MILIONPLOT SIZE:: 3600 SQMFOR MORE INFO:CONT...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ————————...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM DK 10 TOKA LAMI________________________KODI 4...