Search

4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kibada Mwera, Dar Es Salaam (500 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 95,000,000

Description

🔥 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA MWERA 🔥🏡

💎 FURSA NZURI KWA MAKAZI NA BIASHARA!

Nyumba nzuri inauzwa Kigamboni – Kibada Mwera, ikiwa na nafasi nzuri na mazingira yanayofaa kwa makazi pamoja na shughuli za biashara.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
✅ Vyumba 4, vyote Master
✅ Sebule
✅ Dining
✅ Jiko
✅ AC
✅ Full Bathroom
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 500
📄 Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa
💼 Eneo lina fursa nzuri kwa biashara

💰 BEI: TZS MILIONI 95
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

🔥 Nyumba nzuri yenye nafasi na location nzuri kwa makazi pamoja na biashara.

📞
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Nyumba kigamboni
Viwanja kigamboni
beach plots kigamboni

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

Dalali Kigamboni mbavu