Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam



Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
22 hours ago
Sh. 300,000 per month
Type
Retail Space
Amenities
Near Paved Road
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu bora ya biashara au ofisi? Hii hapa ni chaguo sahihi kabisa!
📍 Eneo: Sinza
💰 Bei: 300,000/= kwa mwezi
✨ Frem nzuri sana yenye muonekano wa kuvutia
🚗 Inatazama lami – rahisi kuonekana na kuvutia wateja
💼 Inafaa kwa biashara ya aina yoyote, hata kwa ofisi (wazee wa ofisi hapa ndipo penyewe 😉)
📈 Eneo zuri lenye mzunguko wa watu
🔌 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748
Wahi sasa kabla haijachukuliwa! 🚀
