House for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Tabata, Ilala, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 165,000,000
Type
House
Plot Size
1000 SQM
Nearest Road
200m
Amenities
Water Supply
Near Bus Stand
Surveyed Land
Description
🏡 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (VIWANJA VYA BENKI) 📍
Kipo eneo zuri sana la Tabata Segerea, takribani meter 200 kutoka stendi – sehemu yenye makazi mengi na biashara.
🔹 Ukubwa: Sqm 1000
🔹 Bei: Milioni 165
🔹 Hali ya umiliki: Kimepimwa (hati bado)
🏠 Ndani kuna nyumba za kukarabati zenye wapangaji tayari – fursa ya kipato wakati unaendelea kuboresha au kupanga maendeleo makubwa zaidi.
✅ Maji yapo
✅ Umeme upo
✅ Eneo limejengeka vizuri
💼 Inafaa kwa uwekezaji wa apartments, biashara au makazi binafsi.
📞 Piga: +255688412890
👀 Viewing fee: 30,000/=
✨ Dalali wako Wakishua
