Residential Plot for Sale in Kinyerezi Mskitini, Dar Es Salaam (450 sqm)

video thumbnail
Sh. 6,000,000

Type

Residential Plot

Plot Size

450 SQM

Amenities

Near Mosque

Description

GENERATIONAL WEALTH πŸ’°πŸ‘
Hii ni mali au uwekezaji unaokupa faida sio leo tu… bali hata kwa watoto wako na kizazi kijacho. Ni namna ya kujenga chanzo cha kipato cha kudumu πŸ”

Sasa sikiliza hii πŸ‘‡

Kiwanja kinauzwa kikiwa na ukubwa wa 30x15 (450 SQM) πŸ“
Ni eneo linalofaa sana kwa uwekezaji wa apartments (master – chumba + choo) 🏒

πŸ‘‰ Kwa ukubwa huu unaweza kujenga master 10 au zaidi
πŸ‘‰ Kila moja ukapangisha kwa 100,000/= kwa mwezi πŸ’Έ
πŸ‘‰ Mapato yako = 1,000,000/= kila mwezi 😳πŸ”₯

Na VIDEO uliyoiona hapo juu ni MFANO HALISI wa ujenzi kwenye kiwanja kama hiki β€” so unaona kabisa kwamba INAWEZEKANA πŸ’―

Hii sio hadithi… ni opportunity ya kweli ya kujenga kipato cha uhakika kwa muda mrefu.

πŸ’₯ Bei ni MILIONI 6 TU
πŸ“ Location: KINYEREZI MSKITINI
(Deal kama hii haipatikani kirahisi!)

Usisubiri kesho… anza kujenga future yako leo na uwekezaji wenye maana πŸ™Œ

πŸ“ž Piga/WhatsApp: +255688412890