1 Bedroom House for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
Description
🏠 CHUMBA KIMOJA MASTER, SEBULE NA JIKO VINAPANGISHWA
📅 Vitakuwa tayari kuhamia kuanzia tarehe 1/9/2026
💰 Kodi: TSh 500,000 kwa mwezi
📍 Mahali: Kimara Korogwe
📄 Masharti ya Malipo: Miezi 6 mbele
SIFA ZA NYUMBA
✅ Chumba kimoja Master
✅ Sebule
✅ Jiko
HUDUMA NA VITU VILIVYOPO
✔️ Barabara nzuri na rahisi kufika
✔️ Eneo tulivu na salama
✔️ Nyumba ipo ndani ya fensi
✔️ Maegesho ya magari yanapatikana
✔️ Full A/C
✔️ Maji na umeme (LUKU) vina mita zake kutoka kwenye chanzo kikuu
📞 Wasiliana nami:
Simu au WhatsApp: 0766547700
GHARAMA ZA UDALALI
🔹 Ada ya kuonyeshwa nyumba: TSh 20,000 (hulipwa na mteja kabla ya kwenda kuona nyumba).
🔹 Commission ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja, hulipwa na mpangaji itakuwa wazi 01 09 2026 kuona ruhusa















