Search

3 Bedrooms House for sale in Mbagala Chamazi Kwa Mkongo, Dar Es Salaam

Sh. 33,000,000

Description

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MBEI NI MILIONI 33 TU! 🏡

Unamaliziwa kila kitu kwa makubaliano na mwenye nyumba.

📍 Mahali: Mbagala Chamazi Kwa Mkongo
🛣️ Dakika 3 tu kutoka barabara kuu ya lami.

Sifa za nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master Bedroom)
✅ Sitting Room
✅ Dining Room
✅ Jiko
✅ Maji yanapatikana
✅ Nyumba ya kisasa yenye mazingira mazuri

Hii ni fursa nzuri ya kupata nyumba bora kwa bei nafuu.

📞 Njoo site, tazama mwenyewe, ukague na ulipie!

Kwa maelezo zaidi, piga simu: 0683 665504

Similar properties in Chamazi, Dar Es Salaam