Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment_Classic_For_Rent
INAKUWA WAZI 03/08/2025
KUONA NYUMBA Na MALIPO RUKSA BOSS 💰✍️
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#MAFENI KOTE
#LUKU NA METER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA
ZIPO NDANI YA FENCE PARKING IPO
#MAZINGIRA SAFI KABISA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
KODI 300,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp