Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali mpya kabisa
Location kimara mwisho km 2 usafiri ni wakutosha
Kodi 120000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sehemu ya jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















