Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






(300,000X6)KIMARA BARUTI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO LINA KABATI OP KITCHEN
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453