Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA LASTANZA
-‐--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi 550,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH 🇹🇿