Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA
Kigamaboni ungindoni 📍
✅ Vyumba viwili kimoja master Sebule jiko
✅ Ndani ya fence
✅ Umeme & maji unajitegemea
✅ Karibu na barabara
👉 bei 600k kodi kuanzia Miezi 6
👉 zingatia service charge 20k.. ukilipia Nyumba dalali mwezi 1
Welcome Kigamboni
#realestateagent #nyererebridgekigamboni🇹🇿 #diamondplatnumz #diamondplatnumz_trends #mbossokhan #nyererebrigde #kigamboni