Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA;
💧Location :: MADALE ROAD
💧Bei :: 200,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili( kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko kubwa
📍Feni
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia
0756455653
0788633081
0682778500
Call /Whatsapp