Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA #KIMARA_BUCHA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= × 6
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA HATUA ZA MWISHO KUNG'ARISHA NYUMBA
🌟APARTMENT HIZI MPYA ZINASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#ULINZI,,MTU WA GARDEN NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE KABISA NDUGU MTEJA
#ZIPO APARTMENT 4 MPYA NDUGU MTEJA NA ZIMEBAKI CHACHE MBIO ZAKO TUU HAPA
#KUNA WALINZI MASAA 24 NA BURE KABISA NDUGU MTEJA
#GARDEN NZURI
BEI NI 600,000/= × 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 3
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI (JIRANI NA EBONITE PRIMARY SCHOOL)
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 TU
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300
#nyumbampya #nyumba #ujenzi #homedesign #interiordesign #newhome #realestate #dreamhome #housegoals #construcción #property #architecture #homesweethome #homedecor #newbeginnings #modernliving #homeinspiration #househunting #homebuilder #nyumbanzuri



















