Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Ya Chini Ndiyo Itakuwa Wazi
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000 Mpaka Getini
Price: 500,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Umeme LUKU Yako
✅️Maji Meter Yako
✅️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking IPO KUBWA 🚗
✅️Good Environment 👍
📌Itakuwa Wazi 11/05/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp