Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

๐ŸŒŸ๐ŸŒŸAPARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA

450,000/=X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 18/09/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

๐Ÿ’ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN
โ€ผ๏ธ INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI

BEI NI 450,000/= X 6

ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

===========

CONT

0683234124

0718367179

Dalali Bony Kimara Mbezi
dalali_bony_kimara_mbezi
Dalali Bony Kimara Mbezi

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X6)KIMARA SUKAโ€”โ€”MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

BONGE MOJA LA MASTER INAKUWA WAZI TAREHE 25/08/2025 KUONA MALIPO RUKSA MPANGAJI AKIWEPO YA CHINI ITA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA MWISHO#๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š:...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA KOROGWE NJIA YA MAJI CHU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA SUKA JIRANI NA BA...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment inapangishwa KIMARA STOP OVER Nyumba itakuwa wazi mwisho wa mwezi, Kuona na kulipia ruksaN...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA;UMBALI WA MITA 500 BODA 1000 AU KUTEMBEA DAKIKA 8#CHUMBA_SEBULE_NA_JIKO_CHO...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟApartment Classic For Rent Location: KIMARA SUKA Distance: Dakika 8 Kwa Kutembea Tu ๐Ÿšถ๐ŸšถKutoka M...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NEW Apartment Classic For Rent โœจ๏ธLocation: KIMARA KOROGWE KILUNGULE Umbali Wa Kutembea Kwa Mguu Daki...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#APARTMENT MPYA#INAPANGISHWA๐Ÿ“Kimara korogwe๐Ÿ•“Umbali wa Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi Dakika 3 ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#APARTMENT MPYA#INAPANGISHWA๐Ÿ“Kimara korogwe๐Ÿ•“Umbali wa Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi Dakika 3 ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#APARTMENT MPYA#INAPANGISHWA๐Ÿ“Kimara korogwe๐Ÿ•“Umbali wa Kutoka stand ya mwendo Mwendokasi Dakika 3 ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA SANA#VYUMBA 2 VYA KULALA #CHUMB...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA NYU...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)KIMARA KOROGWE 1.5KM USAFIRI BAJAJI AU BODABODA...โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA N...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NA UNAIPATA KWA 200,000 TU MALIPO YA MI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA SANA#VYUMBA 2 VYA KULALA #CHUMB...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1SIFA YA NYUMBA ____...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/...