Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mapinga, Pwani


🏠 NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA – STAND ALONE 🏠
📍 Mahali: Mapinga - Mtambani
🔐 Ipo ndani ya fensi (stand alone)
🛏️ Ina vyumba 3 vya kulala
🛁 Chumba kimoja ni Master Bedroom
🛋️ Sebule kubwa
🍽️ Jiko la kisasa
🚽 Choo cha jumuiya (Public toilet)
💰 Kodi: TSh 400,000/= kwa mwezi
🔁 Malipo ya miezi 6
🛎️ Service Charge: TSh 30,000/=
📞 Call/WhatsApp: 0687 800 788