Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi Mongolandege, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Huduma na Sifa
Maelezo
π’ NYUMBA YA KUPANGISHA β KINYEREZI MONGOLANDEGE π‘
Nyumba nzuri ya kisasa standalone inapangishwa kwenye eneo tulivu na salama.
β¨ Sifa za nyumba:
β’ Vyumba 3 (kimoja ni master)
β’ Sebule kubwa na ya kisasa
β’ Jiko lenye makabati ya juu na chini
β’ Water heater
β’ Full AC nyumba nzima
β’ Electric fence kwa usalama
β’ Maji ya uhakika (DAWASA) + kisima cha ziada
π Location: Kinyerezi Mongolandege, mtaa mzuri na unaofikika kirahisi
π° Kodi: 750,000/= kwa mwezi
π Malipo: Miezi 6
π Security deposit: 750,000/=
π§Ύ Service charge: 20,000/=
π Wasiliana: +255 672551706. 0684275427/wasap/call
π Karibu sana ndugu mteja, nyumba ni bora kwa familia. Simple and clean.



















