Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE NAFASI,VYUMBA 3,TSHS.75 MILIONI, KIVULE NJIAPANDA YA SHULE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 1,370.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Jirani sana na Kituo cha Daladala.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000..(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________msk


















