Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mapinga, Pwani







NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘 INAUZWA
LOCATION: MAPINGA SHULE MITA 💯 KUTOKA LAMI
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO STOO NA PUBLIC TOILETS
BEI: TSH MILIONI 150 (MAONGEZI YAPO)
ENEO LINA UKUBWA WA SQM 600
NYUMBA INA OFFER KWAIYO MNUNUZI HATI ITAYIKA KWA JINA LAKE
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com