Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏠APARTMENT 3 TUU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO KM.1 KUTOKA LAMI USAFILI UPO WA BAJAJI NOAH 500 BODA BODA 1000/=
•VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTERS BEDROOM
•SEBLE KUBWA SANA
•JIKO KUBWA LA KISASA
•PUBLIC TOILET NDANI
•MAJI YANA FLOW
•UMEME LUKU YAKO
•NDANI YA FENCE
•PARKING SPACE IPO KUBWA
SERVICE CHARGE
NI TSZ15,000/=
KODI NI TSZ 300,000/=X"5"
PIGA SIMU #0625606710