Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI

Mshati Kimara
dalali_mshati_kimara_mbezi
Mshati Kimara

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 5 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA INA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI DK5 K...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM3 KUTOKA LAMI CHUMBA MASTER SEBLE KUBWA JIKOLUKU YAKO MAJI Y...

NEW HOUSE FOR RENT KALI SANALOCATION KIMARA KOROGWEPRICE 350,000 /=DISTANCE 5 MINUTES FROM MAIN ROAD...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA BUCHAUmbali wa Ku...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NEW APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 1 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 400,000/=X6SIFA ZAKE VY...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM3 KUTOKA LAMI CHUMBA MASTER SEBLE KUBWA JIKOLUKU YAKO MAJI Y...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA BARUTI#VYUMBA VIWILI VYA KULALA#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM#SEBULE #JIKO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA INA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI DK5 K...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI ZINAKUWA TAYARI TAREHE 01/07/202...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA โž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara bucha ๐Ÿ•‘Km 1 Kutoka stand ya Mwendokasi, usafili boda 10...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

#0742260844_#0788296797 #0657384670.NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KM 1 TU ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 90,000

90,000 X 3MAJI,ULINZI NA USAFI WA NJE HULIPI PAMOJA NA TAKAINAPANGISHWA#90,000/= MALIPO MIEZI 03---...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X4),(150,000X4),(100,000X4) NA (80,000X4)KIMARA MWISHO 1.8KM BAJAJI 700..UKISHUKA BAJAJI UNA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA BARUTI#VYUMBA VIWILI VYA KULALA#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM#SEBULE #JIKO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 90,000

90,000 X 3MAJI,ULINZI NA USAFI WA NJE HULIPI PAMOJA NA TAKAINAPANGISHWA#90,000/= MALIPO MIEZI 03---...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA โž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara bucha ๐Ÿ•‘Km 1 Kutoka stand ya Mwendokasi, usafili boda 10...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KODI NI 500,000X6)KIMARA MWISHO STANDA ALONE 2KM BAJAJI 1000...UKISHUKA BAJAJI DK 2 UPO NYUMBANISI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT FOR RENT AT KIMARA BARUTI#VYUMBA VIWILI VYA KULALA#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM#SEBULE #JIKO ...