Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= × 6 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#HEATER
#GARDEN
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI
BEI NI 600,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300