Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







PAGALE LINAUZWA KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BEI MILION 17 MAONGEZI YAPO
LINA VYUMBA VINNE VYA KULALA
UKUBWA WA ENEO NI 15 KWA 19
LINA WATU WANAISHI HUMO
UMEME UPO
MAJI YAPO
MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
KWENDA SAITY 30,000
###0655256419