Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA โ TEGETA WAZO
๐ Eneo: Tegeta Wazo
๐ Kiwanja: sqm 600
๐ Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa, ipo katika mazingira tulivu na salama โ inafaa kwa familia!
Sifa za Nyumba:
๐ Vyumba 4 vya kulala (1 Master bedroom)
๐ Sebule kubwa
๐ฝ Dining
๐ณ Jiko lenye nafasi
๐ฆ Stoo
๐ฝ Choo cha nje (public toilet)
๐ฉโ๐ณ Chumba cha mfanyakazi kipo nje
๐ฐ Bei: Milioni 200 (maongezi yapo)
๐ Wasiliana na:
#0692406639
๐ Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba bora katika eneo linalokua kwa kasi!